Ndio maana watu wana mitizamo tofauti kwny maisha,no. hio hio unayoiona wewe ni 6 aliyesimama upande wa pili anaiona ni 9.Hii arusi , kwa viwango vya bongo imepita kiwango cha ufahari. Mungu awasaidie tu kusikia kwenye social media kuwa wameanza kuparangana na kudaiana talaka.
Kwangu mimi, haikupasa kuwa ya fahari kiasi hicho labda kwa kuwa sina hela kiwango hicho. Katika suala la arusi za watoto, baba Jessica (JPM) alikuwa sahihi kwenye arusi ya mtoto wake.
Vv
Ndoa maaskofu watatu. Hivi na za waumini wa kawaida huwa zinakuwa hivi? KKKT kwa kupenda wenye pesa tu. Yaani Shoo katoka Kilimanjaro kuja kufungisha ndoa Dar?Ama kweli Yesu peke yake ndo hakuwa mbaguzi.
Wewe unaonaje mkuu? Maoni yako tafadhali .Ndio maana watu wana mitizamo tofauti kwny maisha,no. hio hio unayoiona wewe ni 6 aliyesimama upande wa pili anaiona ni 9.
Ukisikia mambo mengi muda mchache ndio hapo.Hapo watu wanataka kujiachia wakitoa zawadi zao,unaweza ukakuta walio jiandikisha kwa Dj kutoa zawadi wamejaza Counter Book Quire 2.
Ikiitishwa Harambee kanisani unajificha au ukilazimishwa unachangia Jero. Wenzako wanachangia mamilioni halafu mnataka huduma sawa. Pambana na wana VICOBA wenzio huko Kipunguni.
Kwani ruge alikuwa tajiri?Mbona kwa ruge alienda katekista
Kaa kimya kama hujaona kwenye ndoa tafuta kwenye misiba wapo kibao hao maaskofu wakatoliki wakiwazika wakubwa.Sijawahi kuona maaskofu wa RC wanafungisha ndoa chilia Mbali maaskofu kadhaa kukusanyika kufungisha ndoa kwa RC sijawahi ona sijui ni kwanini.
Sana mkuu hata kuku wako anakudonoa bila wasiwasi
Mbona kwa ruge alienda katekista
Hii arusi , kwa viwango vya bongo imepita kiwango cha ufahari. Mungu awasaidie tusije kusikia kwenye social media kuwa wameanza kuparangana na kudaiana talaka.
Kwangu mimi, haikupasa kuwa ya fahari kiasi hicho labda kwa kuwa sina hela kiwango hicho. Katika suala la arusi za watoto, baba Jessica (JPM) alikuwa sahihi kwenye arusi ya mtoto wake.
Vv
Hapo kila mtu anaondoka na bahasha yenye ujazo wa kuelewekaKweli pesa shikamoo,maaskofu walivyojaa utadhani wanamsimika askofu mwenzao kumbe wapo kwenye harusi,sijui harusi ya mwanangu huku Pugu maaskofu watakuwepo kufungisha ndoa ya mwanangu.
Hakuna maono yoyoteKwa akili yako labda umeona afisa wa benki amefahamu naweza kufanyaje ili niwalize. Kwa usilolijua siku hizi kuna system mpya inayohusiana na mikopo inaingiliana na mabenki yote Tanzania,
yani niweke bond nyumba ya zaidi ya mil 200 nikimbie na milioni 100, nianze kutafutwa dukani kila siku na kupigwa ban ya kukopa benki yoyote Tanzania. Ndo mana mnalalamika CRDB kumejaa Wachagga waacheni aisee hilo kabila limetupita mbali kwa maono. Tukubali tu
Hapo kila mtu anaondoka na bahasha yenye ujazo wa kueleweka
Japo cover ni Shukrani sana Baba Askofu jmn...Ni kwa neema tu ya Mungu jamani lol ashoooong....
😂😂😂😂kisa ashoooong loool...Wewe ni Rachel Temu?!!!