Mtoto wa Davido Anzisha biashara ya mafuta ya nywele yanaitwa Aurora

katoto kazuri

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
6,124
Reaction score
5,745
Mtoto wa Davido anamafuta yake yanaitwa Aurora .
Mtoto wa Davido Amefanya onyesho hilo huko Nigeria na kutambulisha mafuta yake hayo mapya.
Nahizi ndizo picha za yeye na wazazi wake.
Mtoto huyo wakike wa Davido anaumri wa miaka 4 ila amenzisha biashara hiyo yakuuza mafuta ya nywele.
 

Attachments

  • Davido-Imade-Adeleke-Aurora-by-Imade-Product-Launch-BellaNaija-1.jpg
    98.4 KB · Views: 58
  • Davido-Imade-Adeleke-Aurora-by-Imade-Product-Launch-BellaNaija-6-768x1365.jpg
    113.5 KB · Views: 60
  • Davido-Imade-Adeleke-Aurora-by-Imade-Product-Launch-BellaNaija-19-768x1363.jpg
    118.5 KB · Views: 88
Hizi pics chioma lazima karoho kamdunde..... Ndo shida ya kudate na wakaka wenye watoto !!!!

Hahahaha
 
Hahaa unawashauri nini watoto wa kibongo flavor??
 
Ni ya mtoto wake pesa inaenda kwa account yake kumbe hujuagi upo nyuma sana.
rejea the law of contract.... inasemaje for a person under 18 yrs ....inamueleza kama ni minor asiyeweza kuingia mkataba wowote na atasimamiwa na mzazi au any trusted person

inshort hapo hata hizo account zipo chini ya wazazi na wao ndio wana access nazo

thats wat i meant katoto kazuri hizo ni lugha za kibiashara tu zisikuchanganye
 
Najua hilo kabisa ila hela haziguswagi namtu iko hivi kuna account mbili mona savings account hii haiguswi na business account hii inaguswa so faida ikiingia inakatwa mara mbili ya biashara inawekwa ili iendeshe biashara na ingine ni hifadhi yake na hadi atimize 25 ndio anakabidhiwa sio 18 halafu ni ya business account sio savings ili asitumie ovyo.
Ya kumi nanane ni personal account tu ndio atakabidhiwa .
Ila kuna ile ingine yake ila wazazi watampa akiwa kaolewa au amekuwa matured zaidi.
Biashara lazima uwe na account mbili savings account na business endapo umekwama hiyo ya savings itakusave na biashara inaendelea.
So tofauti na personal account ambayo kuna ya kuitumia na kutoitumia.
Yes best ndio hali halisi.
 
Hizi ni sheria za naija,tz,au binafsi za davido na family yake?
 
Hizi pics chioma lazima karoho kamdunde..... Ndo shida ya kudate na wakaka wenye watoto !!!!

Hahahaha
Mi ndo sitaki hata kusikia,mwanaume mwenye MTT/watt ni shida!
Lzm uumie ukiona hivi
 

Hizi ni sheria za naija,tz,au binafsi za davido na family yake?



Akikujibu ni taG.??



Hizi ni zangu na familia tarajiwa

i rest my case [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…