Lord Diplock MR
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,393
- 3,237
Mtoto wa Konki konki konki Master Dudu Baya amefunguka kuhusu tuhuma zinazomkumba baba yake za kumuhusisha na ushoga na kusema baba yake siyo shoga. Wille amesema anachofanya baba yake ni kuwataja wahusika lakini yeye siyo shoga.
Mtoto wa Dudu Baya pia amesema kuwa shoga ni maamuzi ya mtu binafsi japo kijamii ni jambo ambalo siyo zuri na anajisikia vibaya mtu wake wa karibu akifanya vitendo hivyo.
MY TAKE
Huyu dogo inamaana story ya baba yake na Bilal Mashauzi hajaisikia kabisa au anajitoa ufahamu?