Lord Diplock MR
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,393
- 3,237
kujilia vyao umemanisha nini hapa?Mtoto mwenyewe naye matatizo matupu alikimbia nyumbani kwao akaenda Maisha ya ghetto watu wamejilia vyao mpaka akaenda kuomba msaada kwa dully Sykes.
Alisema ameishi maisha magumu baada ya kuacha shule na kuondoka kwao na kuishi maisha ya ghetto mpaka "anatendewa vibaya" na wenzake amechoka maisha hayo hivyo dully Sykes amsaidie maana anaelewana na baba yake(Yaani dudubaya). Dully akamkataa hawezi kumsaidia bila ridhaa ya baba yake baba yake alifuatwa akamkataa pia kwamba amechagua maisha hayo ya geto na amekimbia shule na akamkimbia dingi akaenda kwa maza acha mtaa umchape tu. So Dogo ndio hivyo alitendewa vibaya. Nafikiri umeelewakujilia vyao umemanisha nini hapa?
Hahaha wamejilia vyao tena?Mtoto mwenyewe naye matatizo matupu alikimbia nyumbani kwao akaenda Maisha ya ghetto watu wamejilia vyao mpaka akaenda kuomba msaada kwa dully Sykes.
Alisema ameishi maisha magumu baada ya kuacha shule na kuondoka kwao na kuishi maisha ya ghetto mpaka "anatendewa vibaya" na wenzake amechoka maisha hayo hivyo dully Sykes amsaidie maana anaelewana na baba yake(Yaani dudubaya). Dully akamkataa hawezi kumsaidia bila ridhaa ya baba yake baba yake alifuatwa akamkataa pia kwamba amechagua maisha hayo ya geto na amekimbia shule na akamkimbia dingi akaenda kwa maza acha mtaa umchape tu. So Dogo ndio hivyo alitendewa vibaya. Nafikiri umeelewa
Kuna mahojiano yao yeye,baba yake,nyandu toz na dully wasafi TV. Baada ya maisha kummshinda Kitaa. Nyandu toz yeye hakusema sana alisema tu alimpokea Kitaa Dogo kwa sababu na yeye alilelewa na DarSkendo ya dudubaya, dogo akahustle akaondoka yalipomshinda akarudi kwa Nyandu akamkataa ndio akaenda kwa dully.Sema hapo kwenye "anatendewa vibaya" ndiyo pagumu hahaha