Mtoto wa Kajala aumizwa na ugomvi wa mama yake na Wema

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Kutokana na ugomvi unaoendelea kati ya Wema Sepetu na Kajala Masanja,mtoto wa Kajala aitwaye Paulette amesema anaumizwa na ugomvi huo na kwamba amekuwa akimtumia ujumbe Wema kumweleza anavyompenda.

Paulette alikuwa akizungumza na ‘Movie Leo’ ya kipindi cha Leo Tena cha Clouds FM.

“Vimekuwa vinaniuma sana ila hata kama wakisema vitu vyote ataendelea kuwa mama yangu,” alisema.

“Mimi naona mama yangu hana makosa yoyote wanavyomtukana,mimi nakuaga najisikia sana vibaya.

"Namwambia (Wema) mama yangu hata kama amekosea kitu chochote amsamehe kwasababu mimi nampenda Wema kama aunt yangu na ninampenda mama yangu tena sipendi nikiona wanatukanana wala nini napenda wawe marafiki,nataka nimwambie Wema nampenda sana,” alisema. Paula
 
Huyo dogo bora tu angebaki pale Bamaga kwa babaake otherwise keshaharibikiwa kisaikolojia
 
Kajala nawe una mtoto mkubwa karibu utapata mkwe
hebu behave kama mama haya mambo mengine achia kina lulu...
 
Kajala nawe una mtoto mkubwa karibu utapata mkwe
hebu behave kama mama haya mambo mengine achia kina lulu...

Dogo janja alikua anakafukuzia hako kidogo ampate p funk akastukia akamfuata dogo janja kwao na panga
 
Mtoto kasema maneno mazuriii sanaa,ilaa huyo Wema abaki bila rafiki tuu naee wawe na urafiki wa kikazi tu mengine watosee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…