Abu Haarith
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 314
- 165
Wallah mie natamani.. niwe na mtoto wa aina hiyo.. nimdekeze!!Hao ndo wale watoto ambao hawajui kusema baba, wao wanajua neno la dad!! Full kidigital!!
mh nikitangulia atateseka kwa mtindo huuWallah mie natamani.. niwe na mtoto wa aina hiyo.. nimdekeze!!
Abu Haarith watoto ni zinatuLhayat Dunia.. wadaleeshe bhanaa..!! hataakitaka maji mletee maziwa!!
Huwezi kutangulia... na kwanini utangulie... akhii al karrim watoto wataishi na yao kama siye tunavoishi kivyetu..wao wanamitazamo tofauti !! Mwache aijijenge kimataifa yote!!!mh nikitangulia atateseka kwa mtindo huu