huyu mtoto wa kigogo si mtoto wa mwanasiasa ila ni mtoto wa mzee mmoja maarufu hapo moshi na ana hoteli hapo mjini jina la huyo mtoto anaitwa michael kimambo na baba yake ana hotel inaitwa rombo cottage
Fair is what the law determines. Hizo extra-judicial activities zote ni illegal na ukipatikana kama mimi ningekuwa hakimu nakupa maximum sentence, maana huna chembe ya ubinadamu.