Mtoto wa kike kutoka taka ukeni

Mtoto wa kike kutoka taka ukeni

azzurre

Senior Member
Joined
Apr 14, 2013
Posts
107
Reaction score
96
IIgwee JF,

Nina mtoto wangu anapotumia dawa ya kusaidia kupumua kama vile amoxcilin huwa akivua chupi huwa imejaa uchafu.

Je, hili linatokana na nini na nini nifanye kuondosha tatizo lakutoka taka?
 
ana umri gani huyo mtoto?
mpe pole chief, muwaishe hospitali.
 
ana umri wa miaka 3
Pole sana, ni mdogo maskini...nenda hospitali chief ukimuelezea dotka atafanya na vipimo atajua kama ni alergy ya hizo dawa au kuna ugonjwa mwingine.

natumaini hauendelei kumpa mtoto hizo dawa
 
Back
Top Bottom