Nazishusha saaafi kabisa ! Halafu nashushia na tubia kadhaa burdanBwana we utakua unatunga. Mwanaume mwenyewe kilo 2 hamalizi
Hats hvyo nmeagiza kilo 1 tuu,..hapa anauliza nachat na nan,mmemwonyesha jf ,..af nahis watu weng huu mtandao hawana habar nao,wanahis ni wa kusoma tuu,maana hapa anauliza maswal kibao,anahis ni kama tinder.Bwana we utakua unatunga. Mwanaume mwenyewe kilo 2 hamalizi
Nna nyota ya mikosi valentine hiiAisee! Pole sana mkuu naona una mabalaa hatari.
Mrejesho: Usiku wa jana wa yule msichana ambaye hakupika chakula
Pambana tu mkuu.Nna nyota ya mikosi valentine hii