kwa nn huhitaji mke? kuna yepi yaliyotokea mpaka umefikia uamuz huo? bora umuasili mtoto, lakin mwanamke akuzalie af achukue time yake hapo ni ngumu, atakuja akugande tu siku moja.
how old are you?????
kama upo above 45...
kamuone psycologist..
unaweza kuwa unaipitia midlife crisis.....
hilo tatizo ni kubwa na huku africa halizungumzi sana
Nope,
The Boss...labda early signs ndio zimeanza, sijafika 45 bado, few more years to go!
...Pheeewww!
Hakuna mwanamke atakayekubali kuzaa na kumwacha mtoto wake, lbda useme mzae then abaki na mtoto umsaidie kuhudumia. Lkn nn klkupata mpk hutaki mke?
una dalili za midlife crisis
kwanza humtaki mkeo...dirvoce..
halafu ni kama hutaki mwanamke mwingine but
unataka uzaliwe mtoto tu...
hauko normal.....
...dah, nimejichongea nini?
Nadhani kwasasa niyaache kabatini hayo maskeletoni ya ex-wife yapigwe na vumbi :hatari:!
.....
...please, be kind bana. Maneno gani hayo?
it's a long story.
tujadili faida na hasara. Not personal attacks.
...kuna wa manjano na matende, shaurilo!
Hivi, kwani kuoa/kuolewa ndio kuzaa?
Msipojaaliwa mtoto je?
Kwani lazima uwe na mtoto na hasa wa kike maisha haya?
Maisha mafupi bwana, zungumza na mkeo myamalize, kama Mungu anasamehe dhambi kubwa kubwa ije kuwa binadam kusamehe makosa ya kibinadam?
...Well,
unawezekana una elements za psychologist; social material and Understanding emotional distress.
Umegundua nini kwenye ujumbe wa mada hii?
Kwanini ume link matakwa ya mtoto wa kike, na kusameheana kwenye maisha ya ndoa?
Be free to express yourself.
Mbu naona kidogo unatubabaisha akina mama. Huyo mtoto akisha zaliwa tu upewe unadhani ni mama gani mwenye akili zake timatu akupe mtoto wake mchanga? Utamnyonyesha na kumuhudumia ipasavyo kama mama mzazi? Na hapa sizungumzii kutafuta mfanyakazi ukamlipa fedha ili amhudumie wakati mama mwenyewe hayupo, au uwape dada zako au mama yako mzazi - never!
Unazungumzia uwezekano wa kupata surrogate mother akuzalie halafu akukabidhi mtoto ujue hiyo ni ngumu sana kwa kwetu Afrika.
Namba mbili, uwezekano wa kupata mtoto wa kike au wa kiume ni 50-50 kama alivyozungumzia mchangiji mmoja hapo juu. Upo uwezekano wa kuongeza chances za kupata mtoto wa kike lakini hiyo siyo guarantee. Jee akipatikana mwanamme ndiyo utamkataa?