Kana-Ka-Nsungu
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,257
- 363
Mimi mwenzenu natafuta mchumba wa kuoa kiukweli na experience yangu inaonyesha watoto wa kitanga na wachache wa pwani wametulia kwenye majambozi,
Jamani, toka nimeweka hii thread sijapata walau dalali ya kujitokeza naona watu tu wanapiga vijembe na wengine ndo hawa wameamua kuniharibia kabisa. Sasa mambo ya tigo humu ndani yamekujaje kama sio kuletea visa? Mimi mwenzenu natafuta mchumba wa kuoa kiukweli na experience yangu inaonyesha watoto wa kitanga na wachache wa pwani wametulia kwenye majambozi, sitaki kuoa afu nirudi tena kwenye kudonoa donoa.
Sasa nyie mnafikiri wakipitia hizo comments zenu atapata picha gani eeh..tuache masihara jamani na wale mlionipa ahadi za kunipa contact mbona jua lachwa sioni kitu, moyo sultani jamani vya kutamani sitaki tena. Mtu asijiridhishe na anchokipenda...tabia ya tigo mi sijawahi kabisa kuifanya labda nyie mnaosema, mimi mtoto wa kiislam safi kabisa, na punde ntafufua mkeka wangu nianze swala tano. NARUDIA TUSICHAFUANE MWENYE KUWEZA KUNISAIDIA AU MWENYE SIFA AJITOKEZE.

Olalalalaaaah mzee wa tiGo huyu! Anazuga tu
naona ndugu yangu fidel yupo 'emirate-stadium' yaani UWANJA WA NYUMBANI
lolkama kweli unania tembelea MuslimMatch.com | As'salaamu Alaykum kuna akina dada wazuri sana wa ki zanziber na kitanga na kimombasa, sharti tu uwe muislam kweli. Ushauri kama kweli wewe ni muislam hayo yakutaja viungo vya mchumba hadharani kama ndio sifa si uislam.
lol
ngoja nikahakikishe mwenyewe hehe
najihakikishia vyote vyote maana nasikia kuna watoto wa kizenji ambao bado bikra ila huko kusikotajika washeharibika, sijui ni kweli au la, ila dawa ni kuhakiki kwanza.Ukahakikishe kama wapo wa kizanziber au kama yale mambo yanapatikana? Hahaha msanii usijichanganye ukapeleka usanii kwenye jumba la sanaa.
mkuu naona unaongelea uzoefu wako hapo hahahaNenda Lamu babu huko Utakoma mwenyewe!wachimba****wanatembea na vichupa vya****kuchukua hisia kila wakati ana nusa!
Jamani natafuta mchumba: tafadhali zingatia sifa zifuatavyo.
- Awe muislam - bikra ni sifa ya ziada
Jamani natafuta mchumba: tafadhali zingatia sifa zifuatavyo.
- awe anatokea maeneo ya Tanga, Zanzibar au Kilwa
- Awe mweupe na mrefu wastani asizidi cm 160
- awe mwembamba wastani yaani si mnene wala mwembamba
- Awe na makalio makubwa yasivunje rekodi yaani yawe dizaini ya kijungu fulani. yakitokeza sana ni sifa ya ziada
- Awe muislam - bikra ni sifa ya ziada
- Ajue kupika hasa wali wa nazi
- Elimu inategemea na sifa za hapo juu, hata kama amemaliza darasa la saba sio tatizo, nitamwendeleza mwenyewe.
Zipo sifa binafsi ambazo nisingependa niziweke hadharani ila kiufupi awe mshiriki mzuri katika mechi zote za ndani. maombi yenye picha yatajibiwa haraka.
Tafadhali tuwasiliane kwa private JF message.