Kana-Ka-Nsungu
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,257
- 363
Jamani kwenda Tanga anahitaji visa? Tena watoto wa kule hawana makuu nakumbuka kipindi kile unahonga 10,000/= msambaa anaenda kukuletea change yako (5000) unamuuliza vipi anasema mbona raha tumepeana wote?
Yupo mtoto mmoja wa Kitanga ana sifa zote hizo kasoro bikra (nilishakula kama mara tatu siku za nyuma kidogo). Je, atakufaa?
Tafadhali jibu ili nikupe mawasiliano.
Yupo mtoto mmoja wa Kitanga ana sifa zote hizo kasoro bikra (nilishakula kama mara tatu siku za nyuma kidogo). Je, atakufaa?
Tafadhali jibu ili nikupe mawasiliano.
Masa, acha hiyo ya kurudishiwa chenji, mi nshampa mtu hiyo 10, akasema " jamani, hela zote hizi, si bora uende kwetu ukampe mama iwe ndio mahari yangu kabisa!!!!"
Kaka njoo huku zenji ni wengi.karibu sana uwe shem wetu
Mbona akina fulani wameshatangaza na ndoa wakiwa humu humu eeh muulizeni masanilo kama mi naongopa.
kUMBE NDO ZENU SIO!!!! Mnajifanya kutoa ushauri wakati na nyie mko mawindoni muone kwanza....
tena jamaa anaonekana ni muuzasamaki sana tu.Mkuu kufa kufaana si unajua tena....
tena jamaa anaonekana ni muuzasamaki sana tu.
tembo akiangushwa hata vipofu wana haki ya kula nyama.... teh teh
Huyu fiksiman mwenyewe yuko sensitive kweli alafu anaonekana hapendi kuingia gahrama lol, yani ufunga safari kwenda kwenye eneo la tukio anaona hatari anataka atafuniwe yeye ameze tu.