Mtoto wa kiume kila kitu unategemea kwa mama, jicheki

mbere

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
6,967
Reaction score
6,465
Mtoto wa kiume, umri mkuubwa kila kitu. Mama yangu, unavunja, unapoteza vitu vya watu unampa mzigo wa kulipa mamako.

Hela ya starehe Mamako
Hela ya kuhonga Mamako
Nguo ulizovaa Mamako. Viatu, yaani Mamako Kakuletea sanduku la nguo..

Kubwa mzima unadeka kwa mamako kitoto toto, unaringishia mtaani simu kakupa Mamako
Umekuwa mjinga kabisa. Mamako alipojifungua wewe alijua amepata mtoto wa kumsaidia ukikuwa wewe umekuwa mzigo mzigo mzigo mkubwa kupitiliza.

Jicheki braza badilika..
 
Na wewee eee haya jicheki Mtoto Wa mama
 
HUYO ULIYEMBAHATISHA NI MTOTO WA MAMA
 
Mkuu ina maana mama yake amekuja kukulamamikia au ni wewe mwenyewe umejitolea kumpa ushauri mlengwa....
 
Mama mama mama!
Nani hajazaliwa na mama jinga kabisa
 
unaponda au unaherimisha? are u perfect? kizazi hiki hakuna wanaume wa kiivyo labda uko kwenu! labda sio mwanaume pengine ni mtoto wa kiume!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…