Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliwahi kusikia au kusoma mahali,watoto ambao hawajatahiriwa,wanaposafishwa au kutumia vyoo visivyo na kiwango,kupata maradhi ya kuambikiza kiurahisi.Kwa maana bakteria wanabaki katika ngozi inayoning'inia.Wanaweza pata hata UTI kutojana na kutotahiriwa.Mimi sio mtaalamu wa masuala afya,huwenda ikawa sawa katika kumbukumbu zangu au toafauti na hivyo.Lakini muhimu mpeleke hospital.Asante ntampeleka kesho