Mtoto wa kiume kwasasa alindwe kama mtoto wa kike, maana hali sio hali

Ukweli ni nini? Yohane 18:38
Ukweli kuwa kuna watumishi wa kanisa ni waovu sana sana sana

Wanawaliti vijana wadogo

Na ni kweli kuwa kuna watumishi wa dini nyingine wanafanya vitendo hivyo vya kishenzi kabisa
 
Watoto wafundishwe mazuri na wakatazwe mabaya tangu wadogo
Tatizo wazazi wengine wanajua kupiga tu hata mtoto akivunja glass anakula kipigo cha mbwa koko nadala ya kuangalia usalama wake kwanza

Watoto wanajifunza na wanahitaji uangalizi na mafundisho mema, wanapokosea wanarekebishwa

Wazazi wengine mwiko kucheza na watoto wake yeye kutwa kakunja uso tu

Watoto mmewafanya maadui wala hujui kama shule anakuwa bullied au kalawitiwa

Mtoto anaogopa hata kusema anapoonewa na mwalimu au kuombwa ngono

Badilikeni ongeeni na watoto wawekeni karibu sio kutwa kupiga tu
 
Mama zao wanalawitiana ,unategemea watoto kuwa na marinda?
 
Ukweli kuwa kuna watumishi wa kanisa ni waovu sana sana sana

Wanawaliti vijana wadogo

Na ni kweli kuwa kuna watumishi wa dini nyingine wanafanya vitendo hivyo vya kishenzi kabisa
• Hao walawiti ni Makasisi Wakatoliki pekee?

• Makasisi Wakatoliki wote ni walawiti?

• Hakuna walawiti wengine duniani tofauti na Makasisi Wakatoliki?

• Kuna uhusiano gani kati ya Makasisi Wakatoliki na ulawiti?
 
We wapi nimesema ni hao
Pekee?

Leo tunawaongelea hawa washenzi wanatumia dini kuharibu watoto

Swali shutma hizi ni kweli au hapana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…