Mtoto wa kiume tabia ya kublock watu unaitoa wapi?

Huwa nashindwa kuelewa kabisa vijana wa kiume wenye tabia ya kublock!!

Mkipishana kidogo block!! Nahisigi ni wale dada zetu……
Una Mambo ya kike na kuomba omba hela ndio maana wamekublock.
Kifupi huna faida kwao na wewe ni mzigo wa gunia la misumari.

Jirekebishe
 
Kwani tatizo liko wapi kutumia block? na ni wapi viwanda na company za simu zimesema ni marufuku mwanaume kupiga block?
Kwanini uhisi na uone ni tatizo kwa mwanaume kutumia option ya block kwenye simu?

In psychology view tatizo unalo wewe, behaviour exaggeration is a cover of insecurities. Are you insecure?
 

yaan iyo option iliwekwa kwa ajili ya wanawake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…