Mtoto wa kiume

Mtoto wa kiume

Smile

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
15,347
Reaction score
11,619
Suppose umeona siku zako anzia tarehe 13 march ni siku zipi za kupata ujauzito wa mtoto wa kiume?kama huna jibu tafadhali kaa kimya sitaki confunsion.
 
Zingatia haya.
Wanasemaga

a) Sperm Y (ambao ndio wanatengeneza boy) wanaogelea kwa spidi kubwa kufika kwenye yai lakini wanakufa haraka.
b) Sperm X (ambao ndio wanatengeneza girl) wanaogelea slow lakini wanachukua muda kufa
N:B) hapa tunajifunza kwamba kumbe wanawake ni wavivu tangu wanapokuwa sperm na vidume havina uvumilivu, vinakufa haraka.

Bek to topik.
Kwanza elewa kwamba hii ni game of chances na haina guarantee lakini zingatia yafuatayo.

-Ili upate mtoto wa kiume hatua ya kwanza inabidi ujizuie na sex takriban siku nne kabla ya ovulation yako, kumbuka ukisex siku hizo ina maana X sperm wanaweza kusurvive mpaka siku unaingia kwenye ovulation lakini Y sperm hawatoweza na hivyo utakuwa na chance kubwa ya baby girl.
- Kwa vile Y (boy) sperm wanaogelea faster kuliko X (hawa X wavivu kweli wallahi) inabidi uhakikishe unasex siku ambayo unaovulate (lengo ni kwamba Y sperm afike mwanzo kwenye kurutubisha yai na hivyo kukupatia kidume).

Tukirudi kwenye suala lako la msingi la tarehe ngapi? hii itategemea na cycle yako ya mwezi na pia ni muhimu kwako kujielewa kile kipindi unachoovulate, lakini kama mzunguko wako ni siku 28, tarehe 25 ambayo itakuwa ni siku ya 13 itakuwa ni best kwako kujaribu (usisahau ile kuacha sex siku nne kabla ya hii siku), na pia kumbuka its not guaranteed.

NB: Nina F ya biology form 4, changanya na za kwako
 
zingatia haya.
Wanasemaga

a) sperm y (ambao ndio wanatengeneza boy) wanaogelea kwa spidi kubwa kufika kwenye yai lakini wanakufa haraka.
b) sperm x (ambao ndio wanatengeneza girl) wanaogelea slow lakini wanachukua muda kufa
n:b) hapa tunajifunza kwamba kumbe wanawake ni wavivu tangu wanapokuwa sperm na vidume havina uvumilivu, vinakufa haraka.

Bek to topik.
Kwanza elewa kwamba hii ni game of chances na haina guarantee lakini zingatia yafuatayo.

-ili upate mtoto wa kiume hatua ya kwanza inabidi ujizuie na sex takriban siku nne kabla ya ovulation yako, kumbuka ukisex siku hizo ina maana x sperm wanaweza kusurvive mpaka siku unaingia kwenye ovulation lakini y sperm hawatoweza na hivyo utakuwa na chance kubwa ya baby girl.
- kwa vile y (boy) sperm wanaogelea faster kuliko x (hawa x wavivu kweli wallahi) inabidi uhakikishe unasex siku ambayo unaovulate (lengo ni kwamba y sperm afike mwanzo kwenye kurutubisha yai na hivyo kukupatia kidume).

Tukirudi kwenye suala lako la msingi la tarehe ngapi? Hii itategemea na cycle yako ya mwezi na pia ni muhimu kwako kujielewa kile kipindi unachoovulate, lakini kama mzunguko wako ni siku 28, tarehe 25 ambayo itakuwa ni siku ya 13 itakuwa ni best kwako kujaribu (usisahau ile kuacha sex siku nne kabla ya hii siku), na pia kumbuka its not guaranteed.

Nb: Nina f ya biology form 4, changanya na za kwako
dah tarehe 25 ? Afadhali si jpili/ nitatega watu hadi kieleweke ? Sijui nitoke na nani?
 
dah tarehe 25 ? Afadhali si jpili/ nitatega watu hadi kieleweke ? Sijui nitoke na nani?
Mimi sipendi kabisa uzinifu lakini kwavile una shida nitajitolea kukusaidia, nikufate wapi? Tena toto lako litakuwa na akili kwel kwel manake asili yetu sote tunafanya kazi ubalozini
 
mimi sipendi kabisa uzinifu lakini kwavile una shida nitajitolea kukusaidia, nikufate wapi? Tena toto lako litakuwa na akili kwel kwel manake asili yetu sote tunafanya kazi ubalozini
mwaka huu lazima nizae jpili nitadaka hata muuza mchicha mtaani
 
Ningekusaidia, sema tatizo langu mimi ni mtu wa mapacha tu, tena wote wa kike, ila ni mashoto!
 
suppose umeona siku zako anzia tarehe 13 march ni siku zipi za kupata ujauzito wa mtoto wa kiume?kama huna jibu tafadhali kaa kimya sitaki confunsion

Unamzunguko upi mrefu au mfupi wa siku 28?
 
Mara moja tu tena kwa mshindo mmoja tu. Si unajua sisi wa group 0 plus. Sema ili kukuza kucha na nywele tutatakiwa kufanya mara kwa mara tena mfululizo.
 
unafanya mara ngapi ndo unampa mtu mimba?

Mara moja tu tena kwa mshindo mmoja tu. Si unajua sisi wa group 0 plus. Sema ili kukuza kucha na nywele tutatakiwa kufanya mara kwa mara tena mfululizo.
 
mwaka huu lazima nizae jpili nitadaka hata muuza mchicha mtaani

Yale yale mtoto hana baba mara ooh baba mkimbizi mara ooh baba msomali mara ooh baba mmarekani mweusi kila la kheri
 
Mimi sipendi kabisa uzinifu lakini kwavile una shida nitajitolea kukusaidia, nikufate wapi? Tena toto lako litakuwa na akili kwel kwel manake asili yetu sote tunafanya kazi ubalozini



ehhh kumbe wenye akili ndo wanafanya kazi ubalozini?...hahh ahhahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhaaaaaaaaaa poor me:scared:
 
Yale yale mtoto hana baba mara ooh baba mkimbizi mara ooh baba msomali mara ooh baba mmarekani mweusi kila la kheri


ahh wewe ...kuwa wewe baba basi ilikusiwe na utata wa baba....tutajua tu baba wa mtoto ni mende....😛eep:
 
mara moja tu tena kwa mshindo mmoja tu. Si unajua sisi wa group 0 plus. Sema ili kukuza kucha na nywele tutatakiwa kufanya mara kwa mara tena mfululizo.
hayo mambo ya kukuza utaniachia mwenyewe
 
ahh wewe ...kuwa wewe baba basi ilikusiwe na utata wa baba....tutajua tu baba wa mtoto ni mende....😛eep:

Si unajua baba hajitambulishi ila matunzo ndo yanamtambulisha baba
 
Kumbe somo lenyewe linaishia hivyo, bora upiganie serikali iwe na sperm bank kama Ulaya, ukitaka kuzaa kwa staili hiyo unapandikiziwa mbegu tu za mtu unayemtaka kama wanavyofanya kwa mifugo.
 
Back
Top Bottom