zingatia haya.
Wanasemaga
a) sperm y (ambao ndio wanatengeneza boy) wanaogelea kwa spidi kubwa kufika kwenye yai lakini wanakufa haraka.
b) sperm x (ambao ndio wanatengeneza girl) wanaogelea slow lakini wanachukua muda kufa
n:b) hapa tunajifunza kwamba kumbe wanawake ni wavivu tangu wanapokuwa sperm na vidume havina uvumilivu, vinakufa haraka.
Bek to topik.
Kwanza elewa kwamba hii ni game of chances na haina guarantee lakini zingatia yafuatayo.
-ili upate mtoto wa kiume hatua ya kwanza inabidi ujizuie na sex takriban siku nne kabla ya ovulation yako, kumbuka ukisex siku hizo ina maana x sperm wanaweza kusurvive mpaka siku unaingia kwenye ovulation lakini y sperm hawatoweza na hivyo utakuwa na chance kubwa ya baby girl.
- kwa vile y (boy) sperm wanaogelea faster kuliko x (hawa x wavivu kweli wallahi) inabidi uhakikishe unasex siku ambayo unaovulate (lengo ni kwamba y sperm afike mwanzo kwenye kurutubisha yai na hivyo kukupatia kidume).
Tukirudi kwenye suala lako la msingi la tarehe ngapi? Hii itategemea na cycle yako ya mwezi na pia ni muhimu kwako kujielewa kile kipindi unachoovulate, lakini kama mzunguko wako ni siku 28, tarehe 25 ambayo itakuwa ni siku ya 13 itakuwa ni best kwako kujaribu (usisahau ile kuacha sex siku nne kabla ya hii siku), na pia kumbuka its not guaranteed.
Nb: Nina f ya biology form 4, changanya na za kwako