Mtoto wa kiume


Naona kama umeongelea the opposite.
Walio fasta na kuishi kwa muda mfupi ni Y (boy)
Walio slow na kuishi kwa muda mrefu ni X (girl)
Hata ukitumia common sense.
Ukiwa fasta lazima utachoka mapema kuliko aliye slow
Wanawake hawako fasta kama wanaume
Lakini wanawake wanaishi kuwa muda mrefu zaidi ya wanaume
Haya yote yameanzia tokea wakati huo sperms zinafukuzana.
 

EMT,
Ndiyo maana nikasema kwa jinsi mimi nanavyofahamu ni tofauti na hao wenzangu. Narudia:-
Sperm zilizo fasta na kuishi kwa muda mfupi ni X (Girl) siyo Y (Boy).
Sperm zilizo slow na kuishi kwa muda mrefu ni Y (Boy) siyo X (Girl).
Swala la kwamba wanawake hawako fasta kama wanaume ni swala lingine maana kwanza ukumbuke Mwanamke ni Combination ya Ovum (X) na Sperm (X). Na siyo Sperm X alone. So huwezo ku correlate characteristic ya sperm na mtu kamili (mwanamke - ambaye ni combination ya Sperm (X) na Ovum (X)).
 
mkuu umeenda vice versa!

 

Sawa Mkuu. Nafikiri kuna views kama tatu. View ya kwanza ni kwamba Y (boy) zinakimbia fasta zaidi ya X (girl). View hii inatokana na study ya Shettles ya mwaka 1960 ambapo alitumia phase-contrast microscopy.

View ya pili ni modern kidogo inasema the opposite kwa X ndio zinakimbia na kufa fasta zaidi ya Y.

Lakini pia kuna view ya tatu inayosema kuwa hakuna tofauti kati ya X na Y na kwamba Y bull sperm do not swim faster than X sperm. View hii imetokana na maendeleo ya computer assisted sperm analysis (CASA) that reliable observations could be made.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…