Wadau naomba msaada wenu, girl friend wangu amepata matatizo yaliyopelekea kutolewa mfuko wa uzazi kwa hali hiyo ni vigumu kushika ujauzito kama ndivyo je tunaweza kupandikiza mbegu na yai kutoka kwetu na mtu mwingine azae mtoto kwa niaba yetu? Msaada tafadhali pia ushauri.