TANZIA Mtoto wa Masoud Kipanya maarufu Malcolm the Believer amefariki dunia

May the Almighty God give them ( Masoud and his wife together with the entire family) the Grace to endure the very painful loss of their beloved son, so i pray. My sincerely condolence.
 
Yaani Sarah ni mwanamke shupavu imagine aliacha ajira yake ili awe na muda wa kumhudumia mwanae.....mtoto wake wa pekee kamuacha daah....Bora masudi Ana watoto wengine kwa mke wake wa sasa
Aisee ni mwanamke wa shoka kabisa binafsi nimemkubali sana.
 
Mama yake huyo mtoto walitengana ila Masoud kwasasa ana wake wawili bi mdogo anaishi mikocheni
Kumbe walitengana. Mimi nilijua Sarah ndiyo mke mkubwa kumbe ana wengine wawili.
 
Yani hata mimi Sarah nampenda sana. Nimejiuliza why msiba ufanyike kwa babu.
Mama wa huyu Malcom walishaachana na Masoud anaitwa Sarah Chande....Masoud Ana mke mwingine anaitwa Salma.....wote warembo Ila mi nampenda Sana Sarah..mama yake Malcom
 
Pole san wazazi wake na ndugu wote. Roho ya mtu ni ya thamani haijalishi alikua ana hali gani.
 
RIP Malcolm the Believer! Kwa sie wazazi wenye watoto wenye changamoto tunafarijika sana tunaposoma story za watoto kama wewe Malcolm na Wakonta. Tunazitumia kuwatia nguvu watoto wetu wapambane hadi dakika ya mwisho! Ninatoa machozi kwa ajili yako Malcolm the Believer!
 
Pole kwa changamoto unayopitia kwa mwanao. Mwenyezi MUNGU awe nawe na mtoto wakati wote.

Sent from my S20 Ultra using JamiiForums mobile app
 
Your spirit shall live and never shall it perish Malcolm.

Your parents succeeded such a hard trial

Love comes from God and they realized this truth..

RIP the Hero!
 
May his soul Rest in Peace...
My heartfelt condolences to Masoud family
 
Kipanya anapewa pole sana sababu yeye ni maarufu, lkn pia sio tatizo mmoja kuacha kazi kumhudumia mtoto wakiacha wote nani atatoa esa za matibabu? Chakula? Unajua kua alikua anahitaji special treatment? Nani angecover hizi costs wote wakikaa nyumbani kuhudumia mgonjwa. Kwangu wote they deserve kupewa pole na zikizidi kwa masoud sio issue kwa kua anajulikana zaidi.
Sisi ni wa Allah na kwake tutarejea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…