TANZIA Mtoto wa Masoud Kipanya maarufu Malcolm the Believer amefariki dunia

KP pole sana. Inasikitisha sana.

Nimewahi kusikiliza kipindi juu ya maisha ya huyu mtoto (mama na mtoto mwenyewenwakielezea changamoto na maisha yao kwa ujumla). Niliguswa sana. Nakumbuka katika kipindi hicho walitaja mpaka umri ambapo madaktari walikisia mtoto huyu au wenye tatizo kama lake hawawezi kupita/kuvuka. Inauma sana.

Pole kwa familia na hasa mama wa mtoto huyu. Anastahili nishani.
 
Mkuu
Inamaana mkuu hata mtoto alijua atakufa?
 
Binadamu tunapitia mitihani migumu mno Mungu awape faraja familia ya Kipanya na mtoto apate pumziko la amani milele amina...
 
Very touching story with a very sad ending 😢. RIP Malcom. Poleni wazazi kwa msiba huu mzito. Mungu awape nguvu na uvumilivu. My condolences.
 
Testimony ya Malcolm inagusa moyo

Mungu ampokee mja wake
 
Mwenyezi Mungu amlaze mahala pema peponi.Pole sana Masoud na mkeo.Ipo wazi huyo mtoto alikuwa genius sana
 
RIP Malcolm

Poleni sana Sarah na Masoud. Allah awatie nguvu katika kipindi hichi kigumu
 
Aiseee,,R.I.P. .Nilimuona miaka ya nyuma kwenye kipindi fulani cha Clouds, He was an epitome of benignity
 
Pole sana Masoud Kipanya

Pumzika kwa amani Malcom

Alikuwa kijana jasiri sana, aliyejiamini na mwenye furaha wakati wote pamoja na health challenges alizokuwa nazo.

Sentesi yake ya mwisho niliyoisoma kwenye insta page yake. Nanukuu....."Celebrate me now when am alive...appreciate me when am alive"


Rest In Peace Malcom
 
Speechless.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…