TANZIA Mtoto wa Masoud Kipanya maarufu Malcolm the Believer amefariki dunia

Kijana kasema anamshukuru Mama yake ambae ndie aliyekuwa nae muda wote akimlisha, kumsemesha, kumwogesha, kumwangalia.

Kasema Mama yake ndie aliyeweka pembeni maisha yake ili amsaidie mwanae.

Lakini pole zote, sala na rambi rambi ziende kwa baba Kipanya. Mfumo Dume na Mfumo Umaarufu uliopitiliza.
 
R I P
 
RIP Malcom, pole Masoud..
 
Alale mahali pema mtoto Malcolm
Pole sana Masoud na wanafamilia [emoji24]
 
Pumzika kwa amani Malcom, pole sana Kipanya kwa kumpoteza mtoto....
 
Pole Masoud ametangulia mtetezi siku ya mwisho. Innalillillah wayyinnaillah rajiun. Wengine inagusa sana..lkn kupoteza mtoto pain anajua mfiwa. Pole sana Mama Malcolm
 
Raha ya milele uumpe ee bwana
Na mwanga wa milele umuangazie

Apumzike kwa amani....... Amina
 
M
Baba anatoa hela , mama analisha , baba amekuwa mstari mbele kumtafutia misaada na support mbalimbali. Mama kama anataka pole atapata tu msibani maiti haigombewi.

BTW hakuna anayezuia kutoa pole kwa huyo mama, unaweza ukaamua kumpa pole tu instead ya kulalamika Nani anapewa pole na nani hapewi.
 
Umepambana sana Malcom, pumzika Mwananchi Daima mbele nyuma mwiko.
 
Mkuu

Inamaana mkuu hata mtoto alijua atakufa?
Yes, wote (mimi na wewe tukiwamo) tunajua kwa uhakika kabisa kuwa tutakufa siku moja. Hatujui siku, saa wala sababu ya vifo vyetu. Ukiwa kitandani kwa miaka mingi je? But tunaishi kwa matumaini kuwa hata kesho tutakuwa hai bado!

Lakini hilo nikilosema, hakulisema mtoto mwenyewe katika hicho kipindi. Alikuwa mtu mwingine....sikumbuki kama ni baba au mama....akinukuu maelezo ya tabibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…