TANZIA Mtoto wa Masoud Kipanya maarufu Malcolm the Believer amefariki dunia

Maneno kutoka kwenye wimbo wa

Patoranking - Celebrate
 
Namjua huyo dada ni mtu wa watu sana. Nyumbani kwa mzee wake ni opposite na mlimani city. Karibu na Mwenge tower
Yaani Sarah ni mwanamke shupavu imagine aliacha ajira yake ili awe na muda wa kumhudumia mwanae.....mtoto wake wa pekee kamuacha daah....Bora masudi Ana watoto wengine kwa mke wake wa sasa
 
RIP Malcolm,Ila sentensi yako ya mwisho ni fikirishi sana
 
Hakika vita umepigana mwendo umeumaliza na imani umeilinda. Binafsi nimeguswa sana na msiba wa Malcom japo sikumfahamu physically lakini nilikuwa napenda kumfuatilia. Maumivu ambayo familia hii imepitia kwa miaka yote hii ndiyo maumivu ambayo familia yangu inapitia kutokana na tatizo kama la Malcom kijana ambaye hakukata tamaa na hakuacha kuwa jasiri. natoa pole nyingi kwa mama najua maumivu aliyopitia na anayopitia hata sasa lakini pia kwa baba na wanafamilia wengine hakika Mungu azidi kuwatia nguvu.
 
kwanza poleni sna wafiwa wote na wale wote ambao wamewahi kutoa support kwa kijana wa masoud all in all dogo tyr alikuwa anaonesha kuwa bright sana kichwani lkn ndo hvyooo mungu akutaka iwe hvyooo rest easy champion..malcom.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…