Usijitoe akili kujifanya ww mamba sana. Kwan kuna tatizo gani akimpa taarifa waziri husika. Wabongo tupunguze u-much knowMatatizo madogo kama haya ndio ayatolee taarifa Kwa waziri?. Hapo mtaani kwao hakuna mjumbe, serikali ya mtaa hakuna?. Mambo madogo kama haya yadhughurikiwe na waziri?.
Umeona muheshimiwa?Tusihukumu haraka mnoo!duuuh,,apo kingine tunaweza sema tumtoe pale yule mtoto kumbe mazingira aliyotoka ndo magumu zaidi ya hayo kwa mama Nancy,coz miaka 10 ni mdogo sana jamani,lazima kuna mengi nyuma ya pazia,,sawa atatolewa pale je anaweza pata msaada wa kudumu !?
Prof ndalichako yupo vizuri kwenye kazi ya kiutendaji but sio kuelezea jambo, anaweza akawa na point but kumuelewa na wewe uwe genius la sivyo utaona kama anaongea manjegeka tuuHapo anapokuwa too girly ndio watu wanamchukulia poa.
Ndio kama bungeni alipokuwa anaongelea mmomonyoko wa maadili kha ndio alijize vile, ata wanawake wenzake ambao awafikii akili zake hawana madoide yake (but that’s her personality) too girly.
Ukiachana na Dorothy ambae kichwa, ukiwauliza watanzania nani mwamamke kichwa bungeni not many can tell you Ndalichako ndio mwenye degree ngumu (kati ya wabunge wa jinsia zote) nonetheless she is a very bad politician na ukimsikiliza uoni dalili za uwezo wake. Tofauti na Dorothy even spontaneously kwenye vichambo vyake she is academic.
Dorothy Gwajima ni genius
Good morning 👋
Prof Joyce Ndalichako ni mtu na nusu kiakili.Changamoto ni kujieleza promptly. Hawezi masikini.Kweli Mungu hakupi vyote.Lakini ni wetu hatumuachi.Prof ndalichako yupo vizuri kwenye kazi ya kiutendaji but sio kuelezea jambo, anaweza akawa na point but kumuelewa na wewe uwe genius la sivyo utaona kama anaongea manjegeka tuu
Umemjibu chizi huyo kwa jinsi alivyo-comment inaonekana ni mgumba/tasa.Hajaingilia nyumba za watu. Ametoa tu taarifa ya alichokishuhudia ili wenye mamlaka wachukue hatua stahiki.
Usimchore hivyo.Nyakati zingine watu hawavai machungu ya wengine nafsini mwao.Ni jambo tata linalohitaji utu tu.Umemjibu chizi huyo kwa jinsi alivyo-comment inaonekana ni mgumba/tasa.
wacha tusubiri maelezo ya mama na mtoto mwenyeweUmeona muheshimiwa?Tusihukumu haraka mnoo!
Hana akili ya social issues., anafaa huko kwenye mambo magumu ya kufikia nyota zilizo umbali wa miaka minne ya spidi ya mwanga.Prof ndalichako yupo vizuri kwenye kazi ya kiutendaji but sio kuelezea jambo, anaweza akawa na point but kumuelewa na wewe uwe genius la sivyo utaona kama anaongea manjegeka tuu
Mbona unakosa maarifa embu mtag mhHapa mtaani kuna mama mmoja anaitwa Mama Nancy amemuajiri mtoto ambaye kwa umri sina uhakika lakini nahisi ana umri wa miaka 9 au 10, ameajiriwa kama house girl.
Kibaya zaidi Mama Nancy amekuwa akimnyanyasa huyo mtoto, anampiga anamfokea na inadaiwa amemkataza kuzungumza na watu wengine nje ya familia yake ili wasije wakamfungua akili.
Mtoto huyo amekuwa akiishi kinyonge muda mwingi, anapata mateso makali tena ya waziwazi ambayo sisi majirani tunaona, vipi kuhusu yale ambayo hatuyaoni yanayofanyika kwa ndani?
Mtaa unaoishi na ambao ndio mhusika huyo anapatikana unaitwa Umoja Street, ni Kimara Stop Over (Dar es Salaam).
Mtu ambaye anataka kushuhudia au kama Serikali inataka kufuatilia, wakifika hapo Stop Over, waulizie kwa Dereva Bodaboda kuwa wawapeleke Mtaa wa Dkt. Kayuni au Kanisa la Mabati.
Wakifika hapo nyumba hiyo ina geti la kijivu, chumba cha kwanza cha wapangaji, ndipo anaposhi mama huyo.
Mama huyo ni Mwalimu, anafundisha Shule ya Msingi ipo mitaa hiyohiyo ya Kimara.
Mtoto huyo ameajiriwa hapo wiki za hivi karibuni, ametokea nje ya Dar, aliyemleta ni mama mmoja (rafiki wa Mama Nancy) ambaye kazi yake anachukua Watoto wadogowadogo kama huyo house girl kisha anawabebesha bidhaa wauze mtaani, bidhaa kubwa anayowabebesha ni sabuni.
Mimi nazungumza kwa kuwa natarajia kuwa mzazi, hivyo ninapoona Mtoto mdogo kama huyo anafanyia hayo inamanisha nami Mtoto wangu ipo siku anaweza kufanyiwa kama hayo.
Mama Nancy ambaye ni mama wa Watoto wawili, anaonesha roho mbaya kiasi kwamba ni kama hana Watoto.
Naomba Waziri Gwajima kupitia Wizara yake amsaidie mtoto huyu pamoja na Watoto wengine wote wanaotolewa mkoani na rafiki wa mama Nancy kisha kuja mjini kutumikishwa.
Inawezekana wazazi wa Watoto hao ni masikini n ndio maana wanawaruhusu Watoto wao waje mjini bila kujua wanachopitia.
Duh!🤔Hana akili ya social issues., anafaa huko kwenye mambo magumu ya kufikia nyota zilizo umbali wa kuzifikia inataka speed ya miaka minne ya spidi ya mwanga.
Ndalichako angeweza tumika sehemu zingine muhimu sentivie zs siasa, kwa watu wasiolewa ana degrees mbili za hesabu kwa kumaikiliza tu ni mtu wa hovyo.
Hapa mtaani kuna mama mmoja anaitwa Mama Nancy amemuajiri mtoto ambaye kwa umri sina uhakika lakini nahisi ana umri wa miaka 9 au 10, ameajiriwa kama house girl.
Kibaya zaidi Mama Nancy amekuwa akimnyanyasa huyo mtoto, anampiga anamfokea na inadaiwa amemkataza kuzungumza na watu wengine nje ya familia yake ili wasije wakamfungua akili.
Mtoto huyo amekuwa akiishi kinyonge muda mwingi, anapata mateso makali tena ya waziwazi ambayo sisi majirani tunaona, vipi kuhusu yale ambayo hatuyaoni yanayofanyika kwa ndani?
Mtaa unaoishi na ambao ndio mhusika huyo anapatikana unaitwa Umoja Street, ni Kimara Stop Over (Dar es Salaam).
Mtu ambaye anataka kushuhudia au kama Serikali inataka kufuatilia, wakifika hapo Stop Over, waulizie kwa Dereva Bodaboda kuwa wawapeleke Mtaa wa Dkt. Kayuni au Kanisa la Mabati.
Wakifika hapo nyumba hiyo ina geti la kijivu, chumba cha kwanza cha wapangaji, ndipo anaposhi mama huyo.
Mama huyo ni Mwalimu, anafundisha Shule ya Msingi ipo mitaa hiyohiyo ya Kimara.
Mtoto huyo ameajiriwa hapo wiki za hivi karibuni, ametokea nje ya Dar, aliyemleta ni mama mmoja (rafiki wa Mama Nancy) ambaye kazi yake anachukua Watoto wadogowadogo kama huyo house girl kisha anawabebesha bidhaa wauze mtaani, bidhaa kubwa anayowabebesha ni sabuni.
Mimi nazungumza kwa kuwa natarajia kuwa mzazi, hivyo ninapoona Mtoto mdogo kama huyo anafanyia hayo inamanisha nami Mtoto wangu ipo siku anaweza kufanyiwa kama hayo.
Mama Nancy ambaye ni mama wa Watoto wawili, anaonesha roho mbaya kiasi kwamba ni kama hana Watoto.
Naomba Waziri Gwajima kupitia Wizara yake amsaidie mtoto huyu pamoja na Watoto wengine wote wanaotolewa mkoani na rafiki wa mama Nancy kisha kuja mjini kutumikishwa.
Inawezekana wazazi wa Watoto hao ni masikini n ndio maana wanawaruhusu Watoto wao waje mjini bila kujua wanachopitia.
Dkt. Gwajima DHapa mtaani kuna mama mmoja anaitwa Mama Nancy amemuajiri mtoto ambaye kwa umri sina uhakika lakini nahisi ana umri wa miaka 9 au 10, ameajiriwa kama house girl.
Kibaya zaidi Mama Nancy amekuwa akimnyanyasa huyo mtoto, anampiga anamfokea na inadaiwa amemkataza kuzungumza na watu wengine nje ya familia yake ili wasije wakamfungua akili.
Mtoto huyo amekuwa akiishi kinyonge muda mwingi, anapata mateso makali tena ya waziwazi ambayo sisi majirani tunaona, vipi kuhusu yale ambayo hatuyaoni yanayofanyika kwa ndani?
Mtaa unaoishi na ambao ndio mhusika huyo anapatikana unaitwa Umoja Street, ni Kimara Stop Over (Dar es Salaam).
Mtu ambaye anataka kushuhudia au kama Serikali inataka kufuatilia, wakifika hapo Stop Over, waulizie kwa Dereva Bodaboda kuwa wawapeleke Mtaa wa Dkt. Kayuni au Kanisa la Mabati.
Wakifika hapo nyumba hiyo ina geti la kijivu, chumba cha kwanza cha wapangaji, ndipo anaposhi mama huyo.
Mama huyo ni Mwalimu, anafundisha Shule ya Msingi ipo mitaa hiyohiyo ya Kimara.
Mtoto huyo ameajiriwa hapo wiki za hivi karibuni, ametokea nje ya Dar, aliyemleta ni mama mmoja (rafiki wa Mama Nancy) ambaye kazi yake anachukua Watoto wadogowadogo kama huyo house girl kisha anawabebesha bidhaa wauze mtaani, bidhaa kubwa anayowabebesha ni sabuni.
Mimi nazungumza kwa kuwa natarajia kuwa mzazi, hivyo ninapoona Mtoto mdogo kama huyo anafanyia hayo inamanisha nami Mtoto wangu ipo siku anaweza kufanyiwa kama hayo.
Mama Nancy ambaye ni mama wa Watoto wawili, anaonesha roho mbaya kiasi kwamba ni kama hana Watoto.
Naomba Waziri Gwajima kupitia Wizara yake amsaidie mtoto huyu pamoja na Watoto wengine wote wanaotolewa mkoani na rafiki wa mama Nancy kisha kuja mjini kutumikishwa.
Inawezekana wazazi wa Watoto hao ni masikini n ndio maana wanawaruhusu Watoto wao waje mjini bila kujua wanachopitia.
Mkuu, umetumia maneno makali sana!Umemjibu chizi huyo kwa jinsi alivyo-comment inaonekana ni mgumba/tasa.
🙏🙏🙏Nakuunga mkono mkuu, Amefanya uungwana sana
duh!Haya haters wa waarabu endeleeni kuwaona waarabu wabaya na wakatili, mfuatilieni huyo dogo muulizeni kama anapata walau 30k per month, kazi kuwasema waarabu.