CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,296
- 12,972
Hali zenu wadau wa JF Doctor.....
Jamani mwenzenu mieeee, nimechoka sasa. Mtoto huyu hana hamu ya kula kabisaaaa, hakuna chakula kitamu ambacho anapenda, akitamani chipsi ukimpatia anakula robo chips, wali anahesabu vijiko.... Yaan hakuna chakula ambacho atakula bila kulalamika na mbaya zaidi ukimlazimisha analia...
Hivyo anakula kwa machozi karibu kila siku!
Nisaidieni mwenzenu, hapa nafikiria kuanza kumpa dawa za kumuongezea hamu ya kula....
Je kuna njia mbadala???
Kuhusu afya yuko salama yaan hana minyoo, homa au dalili za kuumwa...
Natanguliza shukrani.....