Mtoto wa miaka 4 na miezi anaumwa jino (Gego)

Machuchu

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2017
Posts
1,260
Reaction score
965
Za leo wakuu,

Naombeni ushauri ndugu zangu.

Mwanangu anaumwa jino ambalo ni gego la kutafunia. Halijaoza bali limecrake tu. Kwa wanaojua tiba ya meno bila kung'oa maana naona mtoto ni mdogo sana.

N.B Nilienda Hosp ya Private walikataa kumng'oa kwa kua mtoto ni mdogo sana wakanishauli atumie dawa ya meno ambayo ni kama tiba (SENSODYNE)

Nataka pia niende Temeke Hosp J.Mosi nikaonane na Dr. nae nimsikilize. Je, kwa Temeke upande wa meno J.Mosi wanatoa huduma? anaejua anijuze, ni hayo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…