Mtoto wa miaka 8 abakwa na wajomba zake watatu na kuambukizwa ugonjwa wa zinaa

Mtoto wa miaka 8 abakwa na wajomba zake watatu na kuambukizwa ugonjwa wa zinaa

kirerenya

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2013
Posts
1,696
Reaction score
2,253
kijukuu.jpg

Jeshi la Polisi kwenye jimbo la Nyamira nchini Kenya wamemuokoa mtoto wa kike wa miaka nane ambaye anadaiwa kubakwa na wajomba zake watatu na kuambukizwa ugonjwa wa zinaa.

Binti huyo ambaye anaishi na bibi yake aliokolewa na polisi baada ya jirani kutoa taarifa kwa polisi kuhusu kilichokuwa kinaendelea.

Inaripotiwa kuwa bibi wa mtoto pia anashikiliwa na polisi kwa kosa la kujua kitendo watoto wake walichokuwa wanamfanyia mjukuu wake bila kutoa taarifa polisi.

Kamishna wa Polisi jimboni hapo Isaiah Nakoru ameeleza kuwa washtakiwa hao wanne wanashkiliwa na polisi huku wakisubiri kupelekwa mahakamani huku mtoto akipelekwa idara ya watoto.

Chanzo: Kijukuu cha bibi
 
Mi nilijua yametokea Chato wangeachiwa, Mpeni pole huyo mtoto na sheria ifuate mkondo wake. Wafungwe maisha washenziiiiiiiiiiiiiii hao.
 
Da yaani wote hawa hawana hata punje ya akili ya kutambua ujinga wao!
 
Mi nilijua yametokea Chato wangeachiwa, Mpeni pole huyo mtoto na sheria ifuate mkondo wake. Wafungwe maisha washenziiiiiiiiiiiiiii hao.
Kwahiyo chato ndio kuna wabakaji walio achiwa?? Omba sana tena sana usije ukapata mtoto, awe wakike or wakiume. Hujui huyo binti alikuwa kwenye wakati gani. Unapoongea uwe unawaza kwako ingekuwaje.
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Wajomba 3 hakuna hata mmoja mwenye akili akatetea huo uchafu? Hio itakuwa familia ya fisi, wakiwa na njaa hulana wenyewe kwa wenyewe. Inawezekana hata wao waligegedwa utoto na wajomba zao. Si maji hufata mkondo na bendera hufuata upepo.
 
Mkuu wakenya hizo ndio tabia zao
 
Kwahiyo chato ndio kuna wabakaji walio achiwa?? Omba sana tena sana usije ukapata mtoto, awe wakike or wakiume. Hujui huyo binti alikuwa kwenye wakati gani. Unapoongea uwe unawaza kwako ingekuwaje.
Chato ndio wanaotengua uamuzi wa Mahakama
 
Back
Top Bottom