Mtoto wa miaka mitatu kutoongea

Hajto

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2013
Posts
5,646
Reaction score
5,606
Habari zenu waungwana,kuna mtoto wa dada yangu anaumri wa karibia miaka 3,tatizo lake mtoto hawezi kuongea...je atakuwa na matatizo gani kiutaalamu
 
Ndungu usifanye haraka hi hutokea mtoto kufika zaidi ya muda huhaja fahamu kusema wengine huchelewa kusema wana kuwa wazito subiri inshalah ata sema amin
 
Shukrani
 
Mi wa kwangu ana miaka minne lakini anasumbuka sana kuongea hasa kuwasiliana, ni kwamba anaweza kuongea lakini si kwa ajili ya kuwasiliana anatamka tu maneno. Nimeenda hospital Dr wanasema ni Autism.
 
Habari zenu waungwana,kuna mtoto wa dada yangu anaumri wa karibia miaka 3,tatizo lake mtoto hawezi kuongea...je atakuwa na matatizo gani kiutaalamu

Anaelekea Kuwa BUBU Mpeleke Upesi Kwa Madaktari Bingwa Wa Watoto Watakusaidia Vinginevyo Ujiandae Kujifunza Kusoma Na Kutumia Lugha Zao za Alama. Hujafa Hujaumbika! Pole Sana Mkuu.
 
Alisema kama kuna tiba yake au mtoto asaidiwaje?
 
Hauna tiba na ni ugonjwa ambao upo kwenye range nyingi so kila mtoto anatakiwa aangaliwe kipekee kutokana intensity ya ugonjwa wenyewe, thanks God kwamba wa kwangu hayupo kwenye upande mbaya sana lakini hawezi kabisa kuwasiliana, kwa mfano akimaliza kujisaidia huwa hawezi kusema nimemaliza wakati mdogo wa miaka miwilli anaweza. akitaka kitu atakushika mkono kukuonyesha. ila hayo maneno ya tayali au kusoma sehem anaweza lkn si kwa ajili ya kuwasiliana anatamka tu hasa akisikia mtu anayasema.
 
Ok...asante kwa hili. Nilitaka kupata ufahamu zaidi, sikuwa nimeisikia kabla.
 
Inatokea mbona?? Mchanganye na wenzake, atajifunza.
 
Anaelekea Kuwa BUBU Mpeleke Upesi Kwa Madaktari Bingwa Wa Watoto Watakusaidia Vinginevyo Ujiandae Kujifunza Kusoma Na Kutumia Lugha Zao za Alama. Hujafa Hujaumbika! Pole Sana Mkuu.

neno analotamka ni ally tu,,
 
Sometimes unakuta mtoto hajichanganyi na wenzake ....saa ngapi atajifunza? mazingira huchangia sana wala si ugonjwa au tatizo la kudumu .....
 
Habari zenu waungwana,kuna mtoto wa dada yangu anaumri wa karibia miaka 3,tatizo lake mtoto hawezi kuongea...je atakuwa na matatizo gani kiutaalamu

cheki kama anasikia vizuri au la.
 
Naomba kuuliza iv Bubu ni ugonjwa au inatokana na uzembe kidogo udogo ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…