NDUGU,
Napenda kukupa maelezo machache na maoni yangu juu ya hali ya uyu mtoto.
Kwa Elimu na ufahamu nilio nayo na maelezo ulio toa,uyu mtoto anaweza akawa na medical condition iitwayo " Congenital Insensitivity To Pain" (CIP) ambayo kiukweli Huwa ni nadra sana kumpata mtu takribani mtoto 1 Kati ya 125Million.
CIP ni Medical condition ambayo mtoto huzaliwa nayo. Hali hii husababishwa na mwili Wa mtoto kuzalisha aina fulani ya kemikali ambayo huzuia ubongo kutafsiri maumivu...
" Inability of the brain to perceive pain impulses from peripheral nerves"
Hali hii madaktari hujaribu kuitibu kwa kutumia dawa ambayo inaenda punguza utendaji kazi Wa hizi kemikali.
Atimaye kumrejesha katika hali ya kawaida..
Dawa hii huitwa Opioid Antagonist Naloxone. (Naloxone) mara Nyingi hupatikana katika mfumo Wa sindano.
Dawa hii pia hutumika kurejesha fahamu kwa wale walio na overdose ya madawa ya kulevya na kupoteza fahamu+ sensitivity, hupewa watoto waliozaliwa kwa upasuaji ambao dawa ya usingizi ambayo alichomwa mama huenda adi kwa mtoto na kum sadate,hivyo dawa hurejesha consciousness kwa mtoto. Inamatumizi mengi kiufupi....
Kama ukipata tena nafasi kwenda tena hospital, dodosa hili kwa Dr upate maoni yake. NOTE: HOSPITAL NA SI DISPENSARY OR HEALTH center.
Aksante.
Kila La kheri.