Moderators heading isomeke kukohoa na c kukomoa nimeedit heading haina option ya kueditMtoto wa miezi 4 analia sana usiku amechoma sindano wiki 2 zimeisha tumempa amoxilin wapi nasasa tumempa sefalexin kikohozi bado kinaendelea
Juu ya yote Analia sana usiku kwa kushtuka kila baada ya dk arobain anashtuka na kuanza kulia anabembelezwa akishtuka naanza kulia hii hali Sasa ni zaidi ya wiki ya tatu Sasa shida ninini?
Madaktari naomba msaada wenu asanteni
Rudi tena hospitali, hata kama ni saa hizi kama unaweza. Kama alikuwa anaumwa Pneumonia basi tatizo kubwa sana....Asante mkuu Nilimpima akaonekana Ana Naimonia Sasa sindano zote hizo hajapona Why
Sababu 6 Zinazofanya Mtoto Mchanga Kulia UsikuMtoto wa miezi 4 analia sana usiku amechoma sindano wiki 2 zimeisha tumempa amoxilin wapi nasasa tumempa sefalexin kikohozi bado kinaendelea
Juu ya yote Analia sana usiku kwa kushtuka kila baada ya dk arobain anashtuka na kuanza kulia anabembelezwa akishtuka naanza kulia hii hali Sasa ni zaidi ya wiki ya tatu Sasa shida ninini?
Madaktari naomba msaada wenu asanteni
Mkuu mpeleke mtoto hospital,nimeshuhudia mtoto akianga dunia kisa Pheunimonia. Siyo nzuri kbs...tena kama upo naye nyumbani bado mkimbize hospital...mwenyewe mwanangu aliumwa hii kitu ila niliitibu haswaa. Mara nyingine uwa wanaongeza dose wakiona bado inamsumbua.Asante mkuu Nilimpima akaonekana Ana Naimonia Sasa sindano zote hizo hajapona Why