Mtoto wa miezi 9 kushindwa kukaa kwa kujitegemea

Juleilah

New Member
Joined
Jun 30, 2021
Posts
4
Reaction score
1
Msaada jamani😒
Nina mtoto wa miezi 9 na week 3 sasa hawezi kaa kwa kujitegemea kwa muda mrefu akikaa kidogo anaanguka ijapokuwa yupo active kuanzia mikono kushika shika vtu na miguu kuitupa na kuikunja ndio zaidi
NB:alichelewa kukaza shingo nikajithd na mazoez niliyoelezwa ila nikaambiwa akifika miezi 9 ataweza kaa mwenyew nakosa matumaini😞
Natamani mwanangu aweze jitegemea 😔
Nifanye nini zaid jamani mana nimekuwa mtu wa huzuni sana
 
Afanyiwe medical check up na paediatrician
 
Pole mkuu. Saa zingine muwe mnawaona wazee mlikotoka.

Wazee ni dawa sio kila siku au kila tatzo ni kwendaga hoosii tuu.

Pole yako. Na upungize huzuni maana unamuathiri mtoto moja kwa moja kupitia nyonyo au kama faza kupitia hisia za macho.
 
Tumepita kote mkuu😒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…