Mtoto wa miezi minne na maziwa ya ng'ombe

Papa Mopao

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2009
Posts
4,153
Reaction score
2,647
Habari za weekend wanajamvi?

Naomba nije na haka kaswali, mtoto ana miezi minne, kwa sasa mtoto anapata maziwa ya mama kwa sana, uji kiasi si sana na maji kidogo, tuna mpango wa kumuanzishia kumpatia maziwa ya ng'ombe. Je, ni sawa kumpatia mtoto wa miezi minne maziwa ya ng'ombe?
 
Mtoto kuazia mwaka 1 , kwa sasa yatamtesa na kumpa choo kigumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…