LDA COMPANY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 340
- 622
Kwema wakuu,
Naombeni msaada. Nina mtoto ana umri wa miezi mitano ila ansumbuliwa na kidonda /jipu kwenye pua. Naona kama siku zinavyoenda pua inazidi kuchubuka naombeni msaada ndugu zangu niijue dawa maana nipo kijijini huku ni ngumu kupata daktari wa watoto.
Nashukuru sana.