Mtoto wa miezi mitatu mwathirika wa dawa za kulevya!!

Zamaulid

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2009
Posts
19,697
Reaction score
15,497
Mtoto mwenye umri wa miezi mitatu, mkazi wa Buza, Dar es Salaam amebainika kuwa mwathirika wa dawa za kulevya.

Mama wa mtoto, Zena maarufu Zerish, mkazi wa Yombo Buza alikiri kwamba alipata ujauzito wakati akitumia dawa za kulevya na kwamba hadi sasa anavuta dawa hizo huku akiendelea kumnyonyesha mtoto huyo.

Anasema anapovuta au kujichoma dawa, mtoto wake pia hupata ‘stimu' kwa sababu hupata dawa hizo za kulevya kupitia maziwa anayonyonya na hivyo wote wawili kulala fofofo sehemu yoyote ile.
source: Mwananchi 29/12/2014
 
Huyo mwanamke ana shida kubwa jamni kwanini asiache ili kumnusuru mtoto kuna watu hawakuumbwa kuwa wazazi maana hata kama yupo addicted hamhurumii mwanae ?so sad
 
Huyo mwanamke ana shida kubwa jamni kwanini asiache ili kumnusuru mtoto kuna watu hawakuumbwa kuwa wazazi maana hata kama yupo addicted hamhurumii mwanae ?so sad
anasema inabidi ayatumie kumsaidia mwanae anapokuwa alosto!
 
Makubwa!!! Pole mtoto kwa mama irresponsible
 
hiyo kitu akaacha kwa ghafla yule mtoto anaweza kufariki labda ajitahidi kureduce mdogo mdogo maana mtoto huyo aliathirika tangu tumboni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…