Iyokopokomayoko
JF-Expert Member
- Sep 15, 2011
- 1,785
- 442
Nashukuru mkuu, ila vyakula tunamubadilishia mara nyingi, tunamuandalia wenyewe uji wa lishe, tunampikia na kumsagia ndizi, viazi, karoti na hata juice za matunda kama embe, nanasi nk lakini bado anasumbua kula. Akiwa na miezi 5 hivi ilikuwa ukimpa tuuji alikuwa anazuga anasinzia lakini ukiacha tu kumlisha anafumbua macho na kuanza kucheza, kuna baadhi za siku anaweza akaamua kula mpaka mkashangaa lakini akianza tena kukataa inaweza chukua wiki hataki.Hapendi vyakula mnavyompa. Maana tatizo lingekua mtoto hata maziwa ya mama yake angesusa.
Jaribuni recipe tofauti, muone itakuwaje.
Mnaweza mkajaribu kumpondea viazi, uji wa mchele, au hata mkapunguza vikorombwezo kwenye hivyo mnavyompa sasa hivi.
Watoto nao ni wajanja, binafsi nimeshapitia.Alikua vya makopo akipewa analia au anatemelea mbali, ila kinachopikwa vizuri nyumbani anakula kwa raha zote.
Nashukuru mkuu, ila vyakula tunamubadilishia mara nyingi, tunamuandalia wenyewe uji wa lishe, tunampikia na kumsagia ndizi, viazi, karoti na hata juice za matunda kama embe, nanasi nk lakini bado anasumbua kula. Akiwa na miezi 5 hivi ilikuwa ukimpa tuuji alikuwa anazuga anasinzia lakini ukiacha tu kumlisha anafumbua macho na kuanza kucheza, kuna baadhi za siku anaweza akaamua kula mpaka mkashangaa lakini akianza tena kukataa inaweza chukua wiki hataki.
tangu jana asubuhi ameanza akinyonya au kunywa vijiko 2 au 3 vya uji (kwa kumkaba), akimaliza anatapika, pia leo anaharisha kama maji hivi, bado anachezacheza lakini nachanganyikiwa nini nifanye kum-speed-up apetite yake, tafadhali wakuu tusaidiane
ubarikiwe mkuu, ukipata wazo jingine usisite kunijulisha, kwa hakika naogopa sana kumzoesha mwanangu madawa ya hospitali.Jitahidini kumpa mara kwa mara hata kama atakula vijiko viwili itatosha. Kamwe msimlazimishe, kwani inaweza ikasababisha atapike. Na zaidi ya hapo mjaribu kumbadilishia vyakula tofauti tofauti. Siyo vibaya hata wkt mama anakula naye kumwonjesha hata kidogo. Pia jitahidi anapopewa chakula mama asiwepo karibu ili aweze kula. Changamoto ni kwamba kuna uwezekano atakuja kula zaidi kipindi akiachishwa.
tahadhari: kamwe usijaribu kumpa mtoto wako dawa za kumpa hamu ya kula; nyingi kati ya hizo dawa zimeleta madhara ya kiakili kwa watoto baadaye. Hivyo, ni bora kuendelea naye hivyo hivyo na kunyonya maziwa ya mama kuliko kumpa dawa hizo.
mkuu hapo miezi 5 tulikuwa ndo tunamtest kumpa japo vijiko 2 kwani tulikuwa tunajuwa atakapofikisha miezi ndo tungeanza rasmi kumpa chakula, nashukuru hata hivyo kwa ushauri wako.Yani miezi 5 tayar mmeanza kumpa mtoto vyakula? Na si ajabu mlianza muda mrefu. Mamake ana matatizo gani na matenite leave maanake nini? Ana haki ya kukataa vyakula muda wake bado.
Du mtoto wa miaka 8?change your menu and recipe, make it funny, muimbie, muweke karibu na tv while eating
usinikumbushe pweza mkuu, nimemiss supu yake usiseme, kuna dr mmoja nimeambiwa yupo k/koo mzuri sana kwa watoto, nacheki cku mbili tatu nitampeleka akamchunguzevipi hata supu ya pweza kagoma? Mwambie mama ake amnyonyshe bana. acheni mchezo. kama vipi kamuoneni doctor. Mia