Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni wa kike, wewe utamuita dada (binamu) au kama ni wa kiume utamuita kaka (binamu). Yeyote katika hao, yeye atakuita kaka (binamu)Jaman nauliza mimi ni wakiume na nina mjomba wangu sas je mtoto wake huyo mjomba nitamuitaje? au huyo mtoto ataniita mimi nani?