EricMan JF-Expert Member Joined Oct 5, 2017 Posts 3,050 Reaction score 5,420 Mar 15, 2023 #1 Jaman nauliza mimi ni wakiume na nina mjomba wangu sas je mtoto wake huyo mjomba nitamuitaje? Au huyo mtoto ataniita mimi nani?
Jaman nauliza mimi ni wakiume na nina mjomba wangu sas je mtoto wake huyo mjomba nitamuitaje? Au huyo mtoto ataniita mimi nani?
Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 33,643 Reaction score 36,090 Mar 15, 2023 #2 Sele keiya said: Jaman nauliza mimi ni wakiume na nina mjomba wangu sas je mtoto wake huyo mjomba nitamuitaje? au huyo mtoto ataniita mimi nani? Click to expand... Kama ni wa kike, wewe utamuita dada (binamu) au kama ni wa kiume utamuita kaka (binamu). Yeyote katika hao, yeye atakuita kaka (binamu)
Sele keiya said: Jaman nauliza mimi ni wakiume na nina mjomba wangu sas je mtoto wake huyo mjomba nitamuitaje? au huyo mtoto ataniita mimi nani? Click to expand... Kama ni wa kike, wewe utamuita dada (binamu) au kama ni wa kiume utamuita kaka (binamu). Yeyote katika hao, yeye atakuita kaka (binamu)