Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Hamna undungu wowote kati yako na mtoto wa kufikia - Siyo wa kwako na yeye pia siyo wa kwake - Wanaweza kuoana na kila Mzazi akapokea Mahari
Kama mke wangu alizaa huko kabla sijamuona, Je mtoto wa mke wangu ni ndugu yangu?
Je lwapo na mimi nlikuwa nimezaa kabla ya ndoa kuna ubaya gani watoto wetu ambao kila mtu alizaa kabla hatujaoana wakioana?
Buji hao ni ndugu hawawezi kuoana