Mtoto wa mkulima ananyimwa mkopo wa fisadi anasoma katika chuo bora US!


Imetosha weye na umeeleweka kwamba siyo mtoto wa Karamagi na zaidi yuko huko kwa scholarship sasa kinachokufanya kupiga kelele huku ukitoa povu mdomoni ni nini? Halafu jamaa hajataja Karamagi popote pale kwenye bandiko lake wewe kwa kuwashwa kwako ndio umetaja. Karamagi akilalamika kuchafuliwa jina atalia na wewe siyo aliyesema fisadi fulani.
 
lool shori mkali kweri kweri.....any infor?
 

- Marekebisho kidogo tu, Mtoto wa kiume wa Karamagi anasoma Private College NYC, ambayo ni very expensive na analipiwa na old wake sio scholarship, huyu anayetajwa hapo sio wa Karamagi, sawa Karamagi ni fisadi lakini mnyonge mnyongeni.

Respect.

FMEs!
 

Nadhani kinacho mkasirisha ni taarifa ambazo hazifanyiwi uchunguzi wa kina,Huu ni uchochezi mimi nilijaa upepo nilipoisoma kwanza kabla ya mdau mwingine kuiweka bayana.Hayo ndo tunayoita majungu, umbeya na uongo.
Uongo ni kitu chochote ambacho si sahihi, hali umbeya ni taarifa ambazo aidha zinafanana fanana na ukweli lakini zikatolewa mahala pasipo sitahili au kwa namna ambayo si sahihi.Nashauri inapotokea jambo kama hili tuwe na utamaduni wa kuomba radhi hasa tunapo potosha umma.
 
...sio kila mtu anayesoma expensive college ni fisadi wakuda nyie!
 
Hii topic ifutwe kwani ni aibu kwa JF


Hapana isifutwe kwa sababu aliyeiweka alikuwa hajui lakini kwa mawazo yaliyotolewa sasa ameelewa. Tafadhali tuheshimu mawazo ya wengine!
 
TAMKO RASMI: NAMTAKA MTOA MADA AITOE HII MADA MARA MOJA NA AMWOMBE RADHI MHUSIKA - BARUA PEPE YAKE INAPATIKANA KWENYE MTANDAO WA STANFORD UNIVERSITY!
 
Mwingine ahenyeke weee ....halafu aje kutusaidia?
 
Kwani kura uwa tunapiga za nini? Uwa tunapiga kura ili kuwapa wakale au sio.Hata mwaka kesho tutawapigia ili wale, sisi tuweke mikono nyuma au sio.
 
Christine Karamagi ni mtoto wa Dr Karamagi, Mhadhiri katika idara ya Uchumi University of Dar es Salaam. I heard ana ndugu yake Havard, hao ni vipanga wa kiukweli hawajabebwa.
 
Christine Karamagi kama sikosea alisomaga shule ya msingi Academic International School. Kama ndiyo huyo I know her enzi hizo za shule & she was very smart hata kuishindia shule competitions mbali mbali. Kama siyo huyo aliye soma Academic samahani lakini if it's her I knew her & she was very smart even back then.
 
Sina sababu za kuamini kuwa wewe ni wakala wa CCM,unaiba kura wewe ndo unayejua what exactly you're doing, lakini kuiondoa CCM madaraka kutasaidia sana kuondoa matabaka hasa katika bodi ya mikopo, haingii akilini kuwa watoto wanakosa elimu kisa matabaka, kumbuka ahadi Kumi za TANU,sasa huu ukiritimba wa CCM wa matabaka unatoka wapi? mbona wenyewe waliosomeshwa bure na kodi za wananchi, they have to be very careful hasa hao waliosomeshwa bure na huku wakila kuku na mayai wapotaka kusema watoto wa wakulima wakopoeshwe ada tena kwa matabaka, historia itakujua kuwaumbua hata kwa kufukua mifupa yao na mafuvu kupima IQ zao.It is very shameful, a country like Tanzania with plenty of Mineral resources fail to provide free education to her people,aibu gani hii jamani..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…