Amanikwenu
Senior Member
- Dec 1, 2009
- 187
- 0
Naomba Waziri Mkuu atambue kuwa matatizo hayako UDOM pekee bali karibu vyuo vyote vikuu vya umma. Ushauri wangu ni kuwa avimulike vyote.
Naomba Waziri Mkuu atambue kuwa matatizo hayako UDOM pekee bali karibu vyuo vyote vikuu vya umma. Ushauri wangu ni kuwa avimulike vyote.
Unamuambia PM au unawaambia watu humu JF wakamuambie PM?WRONG CHANNEL
inshalahusiwe na wasiwasi ujumbe utamfikia tu kupitia jf. Na kwa taarifa yako umeishamfikia.
ni kweli na ni imani yangu kuwa haya yote yatashughulikiwa ipasavyo kwa kutambua ukubwa na uzito wa tatizo,,wekeni wazi matatizo yenu yapate kutatuliwa maana kwa kukaa kimya nani ataona??na ndio sababu UDOM wameona waanzishe na kuendeleza MIGOMO.