Mtoto Wa Museveni Ajitokeza Kuwa Yeye Ana Jinsia Utata

Ibrahim300

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2010
Posts
390
Reaction score
68
Haijapita wiki vizuri kabla rais Museveni wa Uganda kupitisha mswada wa kuwafunga mashoga wote wataopatikana, mtoto wake Diana Kamuntu amejitokeza hadharani na kudai kuwa yeye ni mtu mwenye jinsia ya utata. Kupitia mahojiano ya redio mjini Mbarara, Diana alikiri kuwa yeye ana jinsia utata. Ijapokuwa hampingi babake kwa mambo anayoyafanya, mwanadada huyu amedai kuwa mswada alioupitisha haukumpendeza kamwe na atapigana nao hita hadi mwisho. "Mimi nina ujinsia utata tangu nilipokuwa mtoto" Diana alikiri.

Mimi nimejitokeza kuwa nina ujinsia utata na nitapingana hadi mwisho. Sasa kwa sababu ya kuwa nimejitokeza kuwa na ujinsia utata natumai na nangojea nani atanichukulia hatua dhidi yangu." Mwanadada huyu aliongeza. "Nimezaliwa katika dini ya ukristo na naamini kkuwa mtu ana haki ya kujieleza na wala dini haijatufunza kuwakandamiza wengine."

Muda tu baada wa Diana kufunguka kuhusu ujinsia wake, kituo hicho za habari kilifungwa kabisa. Wiki iliyopita Museveni alipitisha mswada ambao hauruhusu ujinsia moja na ukinaswa utafungwa maisha.

Sasa mtoto wa Museveni amejitokeza wazi ngoja tuone hatua zipi atazichukua.

Stori imetolewa: bkuHABARI Blog
 
Duuh ngojea tuone baba mtu ata-react vipi maana mmh.
 
Naona mashoga wanatapa tapa mpaka wanatengeneza habari fake..waone kama mswaada utafutwa hehehe
 
Jinsia utata ndo nini sasa

..
..Yaani unamwona huyo Diana ..she is woman kwa nje....but SHE HAS UUME.......SHEMALES........na anapiga wanawake wenzake mimba.....biologically she can be either haemophrodite...kwamba anaweza kuwa na uke na uume vyote.....or anaweza kuwa na uume pekee huku kwa nje ni mwanamke....NDIO UTATA HUO....!!!
 
Mmmh hiyo kesi nyingine tena
haya nimekuelewa....
 
Heee makubwaa hayaa nae katupa utataa lol!!!!
 
Wenye UJINSIA UTATA naona wanatapatapa sana.

"Nlikuwepo":bolt:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…