mtoto wa mwaka kutapika

mtoto wa mwaka kutapika

jail

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
477
Reaction score
179
habari wana jf naomba ushauri mwanangu wa kiume umri mwaka mmoja anatapika akila uji au chakula kingine akinyonya hatapiki tatizo nini wenye uzoefu tafadhali hospital nilimpeleka wamenopa dawa ya malaria ya mseto ila hawajampima cha ajabu anachangamka vizuri ila kula anatapika
 
anatapika baada ya mda gani kupita akiishakula?
au mi mda huohuo wa kula?

wakati huohuo hebu jaribu kupunguza sukari unayoweka kwenye uji halafu ona matokeo. .
 
Back
Top Bottom