Kutoka taarifaya habari ya ITV jana jioni, mtoto wa kike mwenye umri wa mwaka mmoja amepelekwa na wazazi wake kwa mgaliba kisha akakeketwa na ngaliba kalipwa sh. 2000. MAONI : elimu ya kuielimisha jamii kuwa kukeketa si jambo zuri isambazwe kwa jamii.