Mtoto wa mwaka mmoja anaharisha sana

ESPIRIT

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2014
Posts
665
Reaction score
524
Ni wa kiume ametimiza mwaka na miez 2, anatembea tayari. Sasa yapata wiki ya pili anaharisha. Mwanzo aliharisha kitu kama mafuta, sasa hivi bado anaharisha kweli kweli. Dawa bado hazisaidii.

Naombeni ushauri ni nini sababu au apewe dawa gani.
 
Ni wa kiume ametimiza mwaka na miez 2. Ameshatembea tayar. Sasa yapata wiki ya pili ANAHARISHA. Mwanzo aliharisha kitu kama mafuta. Saivi bado ANAHARISHA kweli kweli. Dawa bado hazisaidii. Naombeni ushauri ni nini sababu au apewe dawa gani.
Haraka sana tena sana mpele Hospitali wa muawhi na drip za maji..na dawa ..maana atakauka (dehydration)!! Clinici kwanza huko watamkusaidia...
 
Muwahishe Hospital tena iwe Hospital ya maana kwel sio za vichochoroni au zahanati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…