Darlis2016
Member
- Nov 3, 2016
- 81
- 26
Au anatatizo la internal bleeding na ndio sababu anapungukiwa damuitakuwa dawa aliyotumia hiyo!
duh unawaza magonjwa makubwa saaana.Au anatatizo la internal bleeding na ndio sababu anapungukiwa damu
kama hali inabadilika kuwa mbaya mrudishe hospital,Hapo ndo sijajua mkuu kama ana internal bleeding au la maana kinyesi chake kimenishangaza sana na imekuwa baada ya kuanza hiyo doze.
Naombeni msaada wenu wataalam maana hata usingizi haupo kabisa nawazia hili suala tuduh unawaza magonjwa makubwa saaana.
Baada ya jana kuanza hiyo doze kidogo leo amechangamka kiasi fulani, Tatizo kilichonistua ni hiyo rangi ya kinyesi.kama hali inabadilika kuwa mbaya mrudishe hospital,
kama anaendelea kupata nafuu kwa dozi hiyo basi itakuwa n effect ya dawa, kuacha kula ni kawaida kwa wagonjwa so nikumbembeleza tu akipona atakula fresh(unless hapend kula since then)
Nimesoma kikaratasi cha ndani mojawapo kati ya ADVERSE EFFECTS ni black Stools,,,,,, sasa je kitaalamu niiache hii dawa au niendelee nayo??kama hali inabadilika kuwa mbaya mrudishe hospital,
kama anaendelea kupata nafuu kwa dozi hiyo basi itakuwa n effect ya dawa, kuacha kula ni kawaida kwa wagonjwa so nikumbembeleza tu akipona atakula fresh(unless hapend kula since then)
Nimesoma kikaratasi cha ndani mojawapo kati ya ADVERSE EFFECTS ni black Stools,,,,,, sasa je kitaalamu niiache hii dawa au niendelee nayo??
Nimekuelewa kaka.Acha wasiwasi rangi ya kinyesi sio issue, angalia progress ya mtoto!
Mimi siyo daktari ila dawa za kuongeza damu mara nyingi zina iron na moja ya sifa zake ni kuwa nyeusi ikiwa oxidised. Mimi naona ile ni vile imeingia tumboni ikachanganyika na oxygen ndo imekuwa hivyo labda. Kama anacheza na halii kuumwa tumbo, subiri umalize dose mkazanie vitu vya kunywa kama hapendi kula. Nunua maziwa ya low fat anywe labda itasaidia. Pole.Nimesoma kikaratasi cha ndani mojawapo kati ya ADVERSE EFFECTS ni black Stools,,,,,, sasa je kitaalamu niiache hii dawa au niendelee nayo??
Hook worm Infection,Signs of internal bleeding
if any of the following occur:
Fever of 100.4°F (38°C), or higher.
Continuing abdominal tenderness or pain; abdominal swelling.
Poor appetite.
Vomiting.
Blood in vomit.
Blood in stool (dark red or black)
Blood in urine (pink to dark red)
Weakness, dizziness, or fainting.
Asante sana kwa ushauri wako niahMimi siyo daktari ila dawa za kuongeza damu mara nyingi zina iron na moja ya sifa zake ni kuwa nyeusi ikiwa oxidised. Mimi naona ile ni vile imeingia tumboni ikachanganyika na oxygen ndo imekuwa hivyo labda. Kama anacheza na halii kuumwa tumbo, subiri umalize dose mkazanie vitu vya kunywa kama hapendi kula. Nunua maziwa ya low fat anywe labda itasaidia. Pole.