Mtoto wa mwezi mmoja anatakiwa alazwe staili gani?

Katavi

Platinum Member
Joined
Aug 31, 2009
Posts
42,023
Reaction score
12,811
Habari wakuu,

Naomba kuuliza,

Kiafya mtoto mdogo ambaye hajatimiza mwezi mmoja anatakiwa alazwe staili gani, chali, kifudifudi au ubavu?

Dr. MziziMkavu tafadhali ushauri wako unahitajia hapa
 
Last edited by a moderator:
Habari wakuu,

Naomba kuuliza,

Kiafya mtoto mdogo ambaye hajatimiza mwezi mmoja anatakiwa alazwe staili gani, chali, kifudifudi au ubavu?

Dr. MziziMkavu tafadhali ushauri wako unahitajia hapa
Kichali chali ila umfunike na chandaruwa Nzi na mbu wasipate kumtafuna na usimuweke usiku kwenye giza atakuwa anastuka stuka si unajuwa usiku sio vizuri kumuweka mtoto kwenye chumba a cha giza? Mkuu Katavi umepata mtoto gani? wa kike au wa kiume? hongera sana. .chini ya mto wake wa kulalia muwekee upini wa kisu yaani kisu kisichokuwa na mpini na kipande cha kitunguu saumu na mkaa mmoja ili asipate kustuka stuka usingizini.

Mkononi mfunge kitambaa cheusi chenye mvuje na kiapnde cha mkaa na punje 1 ya kitunguu saumu ili asiweze kukaribiwa na shetani mbaya. Nimekupa dawa ya kizaramo hiyo.
 
Watanzania wako busy kuzaa nilitegemea mambo ya uchaguzi mwaka Huu watu wamepumzika haa
 
Nimepata mtoto wa kike mkuu. Asante sana kwa tiba hii.
 
Watanzania wako busy kuzaa nilitegemea mambo ya uchaguzi mwaka Huu watu wamepumzika haa

Hahahahaah toa ushauri kwa ishu iliyopo.
Hatuwezi kuacha kuzaa kwani na vifo navyo vipo vinaendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…