wewe bwana acha uwongo..
km nampenda oa ustafute vsababu mbuz apa
nan anafaa sasa?
wa kwanza?
mmh....
wat if kazaliwa peke yake?
wewe bwana acha uwongo..
km nampenda oa ustafute vsababu mbuz apa
nan anafaa sasa?
wa kwanza?
mmh....
wat if kazaliwa peke yake?
Sidahani kama ina uhalisia kivile.....Kama ishu ni kudekezwa, then inaweza kuwa ni mtoto wa namba yoyote ile na sio lazima wa mwisho. What if ni familia ya watoto wawili tu (wote wasichana au wa kwanza msichana), au ni familia ya watoto kumi wote wa kiume isipokuwa mmoja wa kwanza ndio msichana!
Jamani kuna hii theory kwamba msichana ambaye ni wa mwisho kuzaliwa nyumbani kwao mara nyingi huwa anakuwa amedekezwa sana kwa hiyo hafai kuoa. Hafai kuoa kwa sababu anategemea kuendelea kudekezwa kupita kiasi hata kwenye ndoa na kusahau kwamba mume si mama au baba yake.
Kama kuna mtu yeyote ana uzoefu na hili tafadhali, maana mwenzenu maji yako shingoni!
Rose I support you; mfano watu wameamua kuzaa kwa mpango akazaa first born mwanaume na second msichana ina maana huyu msichana hafai kuolewa kwa nini?
Mimi nina mvulana na msichana na hakuna kudekezwa wote wanapata equal treatments including bakora with some special consideration kwa binti. Sasa labda atutafsirie kudekeza maana yake nini?
kwa tamaduli za kiafrika msichana anaoa au anaolewa???? Nimeshindwa kukuelewa kabisa
Jamani kuna hii theory kwamba msichana ambaye ni wa mwisho kuzaliwa nyumbani kwao mara nyingi huwa anakuwa amedekezwa sana kwa hiyo hafai kuolewa. Hafai kuolewa kwa sababu anategemea kuendelea kudekezwa kupita kiasi hata kwenye ndoa na kusahau kwamba mume si mama au baba yake.
Kama kuna mtu yeyote ana uzoefu na hili tafadhali, maana mwenzenu maji yako shingoni!
Mtadanganywa sana. Position katika kuzaliwa inahusika vipi katika mahusiano ya kindoa. Mbona mi ni mtoto wa mwisho lakini sina deko? Wacheni longolongo.Jamani kuna hii theory kwamba msichana ambaye ni wa mwisho kuzaliwa nyumbani kwao mara nyingi huwa anakuwa amedekezwa sana kwa hiyo hafai kuolewa. Hafai kuolewa kwa sababu anategemea kuendelea kudekezwa kupita kiasi hata kwenye ndoa na kusahau kwamba mume si mama au baba yake.
Kama kuna mtu yeyote ana uzoefu na hili tafadhali, maana mwenzenu maji yako shingoni!
basi hata mtoto wa kiume wa mwisho na yeye atakuwa toto la mama tuu kwa fikra km hizi!
he ancle ,inaa mana mimi sifai kuolewa? bcz mm ni last born as well.. lakin nahis tabia za watu haziendani kwa kuzaliwa zinaendana na malezi ,, nahsi hivyo ,