Mtoto wa Mzee Magari Afariki dunia

Msamiati

R I P
Joined
Mar 6, 2011
Posts
1,063
Reaction score
700

Msanii nyota wa filamu nchini Sherry Charles Magali ambaye ni mtoto wa mzee Magari amefariki dunia akiwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro wodi namba 8.


Msanii huyo, amefariki leo saa nne asubuhi baada ya kuugua kwa muda mrefu. Kwa mujibu wa familia, taarifa zaidi za mazishi zitatolewa baadae. Fichuo Tz inatoa pole kwa wafiwa na kumtakia marehemu alale pema- ameen!





 
Sasa imekuwaje upost habar ambayo bado hauna uhakika nayo ikiwa sio utaiambiaje jamii?
 
mtu kafa jana wewe unadai amekufa leo! nenda jukwaa la celebrities habari hii iko toka jana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…