Mtoto wa nje ya ndoa

Amney

Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
54
Reaction score
4
Hvi jaman kipi bora kwny ndoa kati ya kukaa na mtoto alyezaa nje mumeo au mtoto akakae kwa mama ake thn mumeo akapeleka huduma?
 
bora ukae nae wewe bana....laweza kuja baade mbeleni huko na mitabia mobaha na kuleta matatizo tui kwako
 
 
Kama ni wa nje abaki nje tu, bora akae na mama yake.
 
Hivi wagalatia ni nani aliyewaloga????
 
Mkishakubaliana mtuambie....ili tuanze mipango sasa as of now tunamashaka bado.....please dear ladies make this policy work for the benefit of us (husbands)
 
Hehehe!!!Dah sasa una hakika gani kama mtoto akiwa kwako mama mtoto hatakuwa anaenda ofisini kwa baba kulalamika mtoto wake anapata shida na anakonda?
 
Inategemea km mtoto hateseki na anazidi kunenepeana atasema nn labda awe na lake bt Co mtoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…